Posts

Showing posts from 2016

Heri ya mwaka mpya 2017

MWAKA 2016. Ndugu na rafiki yangu, Mwaka 2016 ni mwaka uliokuwa na changamoto nyingi sana. Ni mwaka ambao mimi pia nimepitia changamoto nyingi ila napenda kumshukuru Mungu kwa kunipatia uzima na kuendelea kujifunza mambo mbalimbali katika maisha. Pia napenda kuwashukuru ndugu,jamaa na rafiki waliyotoa mchango wao mkubwa kunisaidia kufanikiwa katika mambo yangu. Wewe ni mmoja wao. Ninaomba nikushirikishe baadhi ya vitabu nilivyosoma mwaka huu: 1. The four purposes of life ( Dan Millman) 2. Don't sweat the small stuff 3. What to say when you talk to yourself ( Shad Helmster) 4. 50 Ideas that can change your life (Dr. Antony Robert) 5. Successful persuasion through public speaking( John Hayes ) 6. To capture and keep customers( zig ziglar) 7. Raising positive kids in negative world 8. Nguzo( Shemeji M) 9. Public speaking for success( Dale Carnegie) 10. Don't get it twisted love is beautiful thing( J. Estrellay) 11. The Ministry of Healing( E.G. White) 12. Secret of unlimited

All together

"When the man is all together,his world is all together" BDamian http://machumumaere.blogspot.com

What you think about

"You will become what you think about" We become what we think about. BDamian +255712360145 http://machumumaere.blogspot.com

Song

https://plus.google.com/+machumubaharack/posts/gaA2fKgpMAy?_utm_source=1-2-2

# Vitabu# Vitabu#@BDamian

MWAKA 2016. Ndugu na rafiki yangu, Mwaka 2016 ni mwaka uliokuwa na changamoto nyingi sana. Ni mwaka ambao mimi pia nimepitia changamoto nyingi ila napenda kumshukuru Mungu kwa kunipatia uzima na kuendelea kujifunza mambo mbalimbali katika maisha. Pia napenda kuwashukuru ndugu,jamaa na rafiki waliyotoa mchango wao mkubwa kunisaidia kufanikiwa katika mambo yangu. Wewe ni mmoja wao. Ninaomba nikushirikishe baadhi ya vitabu nilivyosoma mwaka huu: 1. The four purposes of life ( Dan Millman) 2. Don't sweat the small stuff 3. What to say when you talk to yourself ( Shad Helmster) 4. 50 Ideas that can change your life (Dr. Antony Robert) 5. Successful persuasion through public speaking( John Hayes ) 6. To capture and keep customers( zig ziglar) 7. Raising positive kids in negative world 8. Nguzo( Shemeji M) 9. Public speaking for success( Dale Carnegie) 10. Don't get it twisted love is beautiful thing( J. Estrellay) 11. The Ministry of Healing( E.G. White) 12. Secret of unlimited

IT IS GOING TO HURT.

IT IS GOING TO HURT. Learning is not something that stops when we are handed a diploma or degrees. In fact that is actually the point when real learning begins. The lessons we are given in school are not the things that carry us through life,those are just the lessons those give us the basic tools to face the real world outside the classroom walls. And that real world is going to sting. It is going to hurt. Sometimes it is going to bump and bruise you, other times it is going to knock you off. You need to react carefully with those challenges. By BDamian Public and Motivational Speaker +255 712 360 145 http://machumumaere.blogspot.com

Uchambuzi wa kitabu cha Lead the field

Habari ndugu na rafiki, Kwanza, napenda kuwashukuru wote ambao umekuwa mkisoma makala yangu katika mwaka huu Pili, napenda kuwajulisha kuwa kati ya makala nitakazoziandika mwisho mwa mwaka itakuwepo makala ya vitabu nilivyosoma mwaka huu Niwatakie sherehe njema na baraka tele tunapomaliza mwaka huu. Mambo niliyojifunza kutoka katika kitabu LEAD THE FIELD kilichoandikwa na EARL .N. 1. Kila binadamu ameumba na uwezo mkubwa wa kutengeneza maisha yake mwenyewe. Hakuna mtu ambaye atafanikiwa kisa ndugu yake au baba au mama yake amefanikiwa. 2. Kufanikiwa au kushindwa kwa binadamu hahitaji bahati au mazingira. Kufanikiwa ni lazima kuachana na mitazamo hasi tuliyonayo katika jamii yetu. 3. Mtazamo wako. Mtazamo wako ni mchango mkubwa sana katika mafanikio yako ya kila siku. Unatazamaje changamoto unazokutana nazo kila siku kwenye biashara yako. Changamoto zipi unakutana nazo na namna gani unakabiliana nazo kwa namna ipi? 4. Kanuni na taratibu. Ili uweze kufanikiwa lazima uweze kufuata tarat

PROSPERITY LAWS by Baraka Damian

Uncommon Dream

The uncommon dream will always influence what you do first each morning. What you do first every morning is an indication of what you consider the most valuable and important thing you can do with your life

SET YOUR MIND

SET YOUR MIND ON HIGHER THINGS Dear my friend Many do not realize it but you can choose your thoughts. Nobody can make us think about something. You decide what you will entertain in your mind. Baraka Damian

MEANING IN LIFE

MEANING IN LIFE Dear friends of mine Welcome to my article Today we are going to learn about how to find our full meaning in our life. The learn of today is amazing article There are three questions which we need to ask our self. These are: 1. Why am I here? 2. Who am I ? 3. What is my purpose ? Knowing your life's purpose gives new meaning to everything in your life. When you know your purpose, every morning you open your eyes, you see a day filled with  possibilities. There is one thing in this world, which you must never forget to do. Human beings come into this world to do particular work. That work is their purpose and each is specific to the person. Your friend Damian  Baraka

9 ways of to control your anger by Baraka DM

9 ways to  control your anger . Anger is a completely normal, usually human emotion. But when  it  gets out if control and turns destructive it can lead to problems-problems at work, in your personal relationships, and in the overall quality of your life. Here some ways to use to control anger 1. When you are anger say nothing . Don't speak anything when you are anger because you will definitely aggravate the situation and quite likely hurt the feeling of other. When someone speaking remain silent  or respond in kind way. 2. Be indifferent to those who seek to make you angry. Some people may unfortunately take a malicious pleasure  in trying to make you mad. However, if you can feel indifferent to them and their words. If you feel  it is beyond  our dignity to even to acknowledge them, then their words and actions will have no effects. 3. Use a reason to stop anger. When you feel say to yourself that"this anger will not help me in any way. This anger will mak

TEMBEA NA WATU SAHIHI

TEMBEA NA WATU SAHIHI Ndugu na rafiki yangu Leo ni siku nyingine tena ambayo mwenyezi Mungu ametupatia ili tufanye jambo ambalo ametuitia kwenye uso huu wa dunia. Ili tuweze timiza ndoto zetu kuna jambo moja nahitaji tujadili ili kutufanikisha kutimiza malengo na ndoto zetu. Mahusiano ni jambo ambalo ni muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Kila siku unahusiana na watu mbalimbali ili tuweze kufanikisha malengo na jambo lolote lilopo mbele yetu. Lakini siyo kila mahusiano ni mazuri. Lazima tuangalie ni watu gani tunahusiana nao,wengine hawawezi kusaidia kufikia malengo yako. Tunatakiwa tuhusiane na watu ambao wamefanikiwa na pia wanahamasa ya kufanya kazi kwa bidii. Watu ambao wana mawazo hasi watazima mto ulioko kwenye fikra zako. Kama kweli umeanza safari hii ya mafanikio lazima utafute watu watakusaidia kufikia kule unakotaka kwenda bila kuchelewa. Hata kama ni familia yako lakini hakuhamasishi kufikia ndoto zako acha nao ila waheshimu maana ndio ndugu zako pekee. Watu tun

MIRACLES COME IN "CANS"

Image
Yes, i can do that.

PROBLEMS ARE FOR SOLVING.

PROBLEMS ARE FOR SOLVING . Dear friend of mine Welcome to this article of today. I am going to speak about how problems are solving. This is incredible article which it help you my friend to go forward in this life. Welcome again. Problems are for solving . You can't expect to go through life without meeting problems, difficulties, perplexities, frustrations are inevitable part of human experience. Accept this idea of the inevitability of problems, avoid a spirit of defeatism or pessimistic fatalism. You may have to face problems, but that does not mean that you are to be helpless in their throes, tossed about like a cork on the ocean. Courage , clear thinking   and fait h will enable you to negotiate the Stormy seas of life and the experience will make you wiser and maturer. You will not have succumbed to your problems rather they'll have made a contribution to your development. When confronted with problem, the first thing to do is to gather all relevant data. G

TUMAINI KWENYE MAISHA

TUMAINI KWENYE MAISHA. Ndugu na rafiki yangu mpendwa, Leo katika makala yangu nitaongelea umuhimu wa kuwa na tumaini kwenye maisha. Tumaini ni hali ya akili kutarajia mambo chanya yatatokea ukihusisha na hali ya maisha ulionayo kwa sasa. Ninajua kwa sasa unapitia mambo hali gumu na changamoto kwenye maisha yako. Umefujikafujika na changamoto za kila siku. Kitu ninachoweza kukuambia kuwa ni vyema uwe na tumaini kwenye maisha yako kuwa ipo siku mambo yatakuwa na wewe utafanikiwa kwenye maisha.Kuwa na tumaini kuwa hayo matatizo na changamoto unazopitia kwa sasa ipo siku yataisha. Utakapo kuwa na tumaini kwenye maisha yako itakusaidia kuendelea kupambana na changamoto za kila siku na utakuwa mshindi. Kesho na tumaini.Kesho na tumaini vinaenda pamoja bila tumaini hakuna kesho katika maisha yako. Tumaini inahamasisha. Ukiwa na tumaini utahamasika kufanya kazi kwa bidii. Tumaini inakupatia nguvu ya kukanyanga kesho kwa kishindo. Nakuomba uwe na tumaini kwenye maisha yako.

BE CONTENT WHERE YOU ARE

BE CONTENT Be content where you are. Dear friend, to be content doesn't mean you should sit back, fatalistically accepting life's problems or troubles or challenges which face you, it doesn't mean you should live life like a wandering generality, unmotivated and undisciplined. To be content simply means trust God enough that you don't get frustrated when things don't go your way. You don't allow circumstances to steal your joy and keep you from being happy. You can choose to be happy and stay happy no matter what comes in your way to your success. Stop all those circumstances which make you down. Stop all little things get the best of you. All happen  in your life begin from your mind,so you are going to set your mind to high level. You are going to value your values in high standards. You  are not common person, you are special one.  No one like you. God created you as unique person,don't let someone to put you down. You are gifted. You are talen

CHAGUA KUWA NA FURAHA

CHAGUA KUWA NA FURAHA Furaha ni changuo. Ndugu mpendwa na msomaji ya makala haya. Leo tutaongelea kuwa na furaha maishani. Maisha yetu yanahitaji tuwe na furaha kila mara lakini ni vigumu kuwa na furaha wakati wote. Furaha ndio inasababisha tufanye kazi vizuri. Huzuni ni adui mkubwa wa mafanikio. Tunapitia mambo makubwa na magumu katika maisha yetu lakini kuhuzuni hakuwezi kubadili changamoto hizo tunazokutana nazo kila siku. Kwa hiyo badala ya kuhuzunika tunatakiwa tuchague kuwa na furaha hata kwenye magumu yote tunayopitia kila siku. Furaha ni uamuzi unaoamua kufanya na wala siyo hisia unazokuwa nazo. Kuna vitu maishani mwetu hatuwezi kuvibadilisha kwa hiyo tunatakiwa tukubaliane navyo ili maisha yaendelee. Maisha ni zawadi tuliyopewa na Mungu ni lazima tufurahi hiyo zawadi tuliyopewa. Baraka Damian Public and Motivational Speaker +255712360145 Sambaza kwa watu wengine pia.

DON'T WORRY

Hello my dear friend Welcome " Don't worry about things you can't change ." Realize that your environment does not prevent you from being happy. Don't worry about things you can't change. You can't change the traffic in the morning. You can't fix everybody at work. You can't  change your family member be like what you want. But you shouldn't let that keep you from being happy. Bloom anyway, and focus on the things that you can change. You can change your own attitude. You can choose to be happy right where you are. Your friend Baraka Machumu Public and Motivational Speaker 0712360145.

TABIA YAKO NDIO MAFANIKIO YAKO

TABIA YAKO NDIO MAFANIKIO YAKO Ndugu na rafiki mpendwa Karibu sana katika makala ya leo Makala ya leo inazungumzia kuhusu tabia tulizonazo namna gani zinachangia katika mafanikio yetu kwa ujumla. Moja kati ya kazi za lazima ambazo hutakiwi kukosa kuzifanya kwenye kila siku ambayo Mungu amekupa. Ni kazi zinazokujengea tabia mpya(tabia chanya). Tofauti kati  yako wewe na malengo yako iko tabia zako,haiwezekani ukatimiza malengo yako uliyonayo ukiwa tabia  hizo ulizonazo sasa(tabia hasi). Moja kati ya mchakato muhimu unaohitaji kuupitia kwa sasa ili uweze kutimiza malengo yako uliyonayo,unahitaji kujenga tabia mpya zinzzoendana na malengo uliyonayo. Na ili uweze kujenga tabia mpya utahitaji ubadilishe ratiba yako ya kila siku,yaani ni kwamba kuna mambo yale unayoyafanya mara kwa mara na tena kila siku kwa sababu ya tabia yako yanakuwa ni matendo yako ya kila siku. Moja kati ya kitu unachotakiwa kufanya kubadilisha hali hiyo,kazi mpyalazima uifanyee ndani ya siku yako na uta
<body g_editable="true" hidefocus="true" contenteditable="true" class="editable " id="postingComposeBox" style="min-width: 0px; direction: ltr; text-align: left; width: 653px;" role="textbox" data-g-ac-active="true"><p><br></p></body>

YOUR RESPONSIBLE AS YOUTH

Image

YOUR TRUTH IS MATTER IN YOUR LIFE

Image

TAMBUA NGUVU ILIYOPO KATIKA FIKRA NA MANENO YAKO

TAMBUA NGUVU ILIYOPO KATIKA FIKRA NA MANENO YAKO. Ndugu,rafiki na msomaji wa makala zangu Leo ni siku nyingine tena ambayo nakuletea makala hii nzuri ya jinsi gani ya kutambua nguvu iliyopo katika fikra na maneno unayojisemea wewe mara kwa mara. Kama unahitaji kuishi maisha yenye furaha na amani lazima utambue nguvu iliyoko ndani yako. Nguvu ambayo unaitoa kila siku juu yako wewe mwenyewe. Fikra unazofikiria kila mara ndio matokeo halisi yanayotokea katika maisha yako. Kama ukiendelea kushikiria mawazo hasi,utaendelea pata matokeo hasi kwenye kila nyanja unayojaribu kufanya, utazungukwa na watu wenye mawazo au fikra hasi. Hutaweza kufanikisha malengo yako. Maisha hufuata fikra zako. Kama unafikiria mawazo chanya,mawazo ya kufanikiwa,yenye furaha utakuwa mtu mwenye furaha na utaweza kuchukuliana na changamoto zote zinazotokea katika maisha yako. Tambua kuwa hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kukupangia kitu cha kufikiria ila wewe mwenyewe ndiye mtawala wa fikra na mawazo yako yote.

TEACH YOUR MIND TO WORK FOR YOU

TEACH YOUR MIND TO WORK FOR YOU .         Dear my friend, Do you know that your mind can either work for you or against you, depending on how train it? When it works for you,it helps you stay positive,reach your goals in life,  and think the kinds of thoughts that enable you to enjoy each day. When it works against you, it can make you negative and discouraged hold you back from accomplishing what you want(need) to do, and cause you to think the kinds of thoughts that result in self sabotage. The way you think is voluntary and you can control your thoughts. I want you to give your brain a new job and begin to teach your mind to work for you instead of against you. One important way to do this is to make the intentional decision  that you will begin to think positively. I realize your brain won't be able to fulfill the new role completely overnight. You  may be asking it to undergo a radical transformation and that will take time. So give it a little time, your brain will go

Semi za Baraka

" Ili ufanikiwe, nia ya kufanikiwa inatakiwa kuwa kubwa kuliko uwonga wa kushindwa" Baraka Damian Machumu Email me:machumubaharack@gmail.com +255712360145

Elimu Elimu

NINI KIPO KWENYE AKILI YAKO.

NINI KIPO KWENYE AKILI YAKO Kimujazacho mtu ndio kimutokacho. Chochote ambacho kipo kwenye akili yako ndio kitakachotokea katika maisha yako. Kama ukiendelea kuamini kama unavyoamini sasa;kama utaendelea kutenda kama unavyotenda sasa, utaendelea kupata matokeo hayo hayo kila siku. Kama unataka matokeo tofauti katika maisha yako, kazi yako, badili fikra zako. Badili mtazamo wako. Baraka  Damian Public and Motivational speaker Email me;machumubaharack@gmail.com +255712360145

THREE KEYS TO ON POSITIVE THINKING

THREE KEYS It's amazing how quickly and completely  our thoughts can change our moods. Negative thinking of any kind quickly steal our  joy and causes a variety of bad moods. I want to share with you three(3) keys to great thinking. They all work but none of them happens accidentally  or without effort. If you want them to be effective in your life, you will have to incorporate  them into your thinking purpose. #1. Set your mind   and keep it setting . Setting your mind is probably one of the greatest and most beneficial things youb can learn to do. To set your mind means to make up your mind firmly. I strongly encourage you to be one of ones who finishes what you start by keeping your mind set in the right direction all the way through to victory. #2. Renew your mind. An unrenewed mind id one that is never changed after knowing the truth. #3. Gird up y our mind . Gird up your mind means to get your minds off of everything that would cause us to stumble as we run

You can not escape any step in process of success

#cymera

TUPA HILO BEGI

TUPA MBALI BEGI LA KUVUNJIKA MOYO . Ndugu yangu mpendwa, Kila mmoja wetu ana begi lake la kuvunjika moyo. Ni begi dogo sana na lisiloonekana ila tumelibeba kila muda tunatembea nalo. Pale changamoto inapotokea ndipo hilo begi linaonekana, ndipo tunavunjika moyo na kuacha kile ambacho tulikuwa tunakifanya. Ninachojaribu kukuambia hapa leo ndugu yangu achana nalo hilo begi, kalitupe mbali kabisa na usijaribu kulirudi tena. Acha nalo kabisa badala nenda kachukue begi la naweza kufanya.Begi naweza kufanya hili jambo hili hata kama changamoto zinisonge vipi nitafanya na nitashinda. "do not let your mind get in your way,you can do whatever you decide to do.... No excuses, only results" Baraka Damian Public and Motivational Speaker 0712360145 machumubaharack@gmail.com http/:machumumaere. Spotblog. com

MAWAZO CHANYA

MTAZAMO CHANYA Mpendwa rafiki Kila mtu anakutana na changamoto mbalimbali katika maisha ya kila siku.Uwe ni mfanyakazi umeajiriwa na kampuni kubwa au mfanyabiashara au hauna kazi kukutana changamoto ni jambo la kawaida. Kuna changamoto za aina mbalimbali unazokutana nazo ambazo zinakufanya urudi nyuma katika malengo yako. Changamoto uliyonayo si kitu pale tu utaweza kujenga fikra chanya au mtazamo chanya kwenye kila changamoto unayokutana nayo. Fundisha akili yako kuwa na uwezo mkubwa wa kukabiliana na misukosuko ya maisha. Ili uweze kufanikiwa kwenye jambo lolote unalolifanya jenga mtazamo chanya kwenye kufanikiwa hilo jambo hilo. Kumbuka hakuna mtu hata mmoja atakayekuja kusaidia kwenye matatizo yako.Acha kulalamika hayo ni maisha yako,fanya maamuzi juu ya maisha yako. Tukutane tena kesho. Baraka Damian Public and Motivational Speaker 0712360145

BADILI CHANELI(CHANGE THE CHANNEL)

BADILI CHANELI (CHANGE THE CHANNEL) Wote tunajua kutumia rimoti (remote controler) kubadili chaneli kwenye TV zetu. Kama ukiangalia kitu ambacho hukipendi hakuna shida unabadili chaneli na kuweka chaneli nyingine ambayo utapata kitu unachokipenda kukitazama kwa wakati huo. Tunatakiwa tujifunze namna ya kubadili chaneli za fikra zetu pale tunapokutana na mtazamo wa fikra hasi kwenye maisha yetu ya kila siku. Kwq hali ya kushangaza hii hali ikitokea kwa watu wengi hulizika nayo badala kubadilisha chaneli zao za mtazamo kutoka mtazamo hasi kwenda mtazamo chanya wao huvuta viti na kukaa na kuangiza vinywaji wanavyovipendelea na kuendelea kuburudika wakiendelea kutazama chaneli ileile ambayo huipendi. Unakumbuka maumivu na mateso uliyopitia zamani. Unapoteza furaha na amani moyoni mwako. Jifunze kubadili chaneli ya fikra  ambayo huipendi, ambayo inakuletea mawazo hasi, mawazo yanayokubomoa na kukupotezea nguvu zako zote. #Tazama mambo mazuri ambayo umeshawahi fanya #Tambua wewe ni wa

TOKA NJE YA BOKSI

TOKA KWENYE NJE YA BOKSI Hapo zamani za kale alikuwepo kijana aliyepata ulemavu wa mguu,madaktari wakatoa ushauri kwa mzazi wake kuwa anatakiwa awekwe kwenye boksi kwa muda mrefu hadi atakapo pata nafuu. Mara kwa mara mzazi wake alikuwa anakwenda naye kila mahali atakapo kwenda. Baada ya muda mrefu, yule kijana alianzisha tabia ambayo hakumpendezea mzazi wake, kijana aligongagonga boksi ili aweze kutoka, siku moja aliweza kuligonga hadi likaanguka na akaweza kutoka nakutembea pekee yake. Alijifunza kutembea na akaweza kutembea vizuri kabisa. Huyu kijana alifanya kitu ambacho wengine walishangaa ambacho watu wengi hawakuamini kama inawezekana. Huyu kijana alikataa kukaa kwenye boksi ambalo mtu mwingine alimuweka ndani yake na akaamua atokee pekee yake. Kuna mtu au kitu kimekuweka kwenye boksi ambalo unataka kutoka. Toka sasa. Kila mmoja wetu anakutana na changamoto katka maisha. Jiandae kifikra kuzishinda hizo changamoto. Decide to rock your box until it falls apart. Baraka Damian

MAPINDUZI YA FIKRA

AMKA TUONGEE---:#Nini kipo kwenye akili yako? #Kimujazacho mtu ndo kimutokacho. Chochote ambacho kipo kwenye akili au fikra yako ndo kitakachotokea kwenye maisha yako. Kama ukiendelea kuamini kama unavyoamini sasa, kama utaendelea fanya kama unavyofanya sasa,utaendelea kupata matokeo yanayofanana kila mara hadi pale utapobadili fikra zako. Kama unataka matokeo tofauti katika maisha yako,kazini kwako, kwenye biashara yako na hata kwenye familia yako. Badili fikra yako. Badili mtazamo wako. # Badili mtazamo wako kwenye changamoto zote unazokutana nazo. #Kuwa na mtazamo chanya kwenye keep la changamoto unayokutana nayo kwenye maisha. #Jaribu kutatua matatizo yako mwenyewe. #Amini kuwa una uwezo mkubwa kukabiliana na changamoto yeyote inayojitokeza katika safari hii ya maisha. #Amini kuwa Mungu amekupatia uwezo mkubwa wa kutatua matatizo na changamoto zinazojitokeza katika maisha yako. #Baraka Damian Public and Motivational Speaker 0712360145

MABADILIKO KATIKA MAISHA

Image
                                                                                                                                                                   Kuna mambo hayajakaa sawa katika maisha yako,kuna shida unapitia au kuna tatizo linakutatiza,tafakari njia ya kulitatua,usitegemee mtu mwingine aje akusaidie kulitatua.Wewe ni mtu sahihi kwenye matatizo yako mwenyewe,wewe pekee ndo unaweza kubadili mawazo yako kulingana unavyotaka.Wewe pekee unaweza badili maisha yako.Wewe pekee unaweza kujipatia furaha,mafanikio unapo badili mtazamo wako wa kubadili mawazo yako. Maisha yako yabadilika utakapo badilika mwenyewe. #1. Kaa chini tafakari wapi unataka ubadilike #2. Jiulize kwanini unataka kubadilika katika sehemu hiyo #3.fikiria na andika majibu ya kwanini unataka kubadilika #Nenda kafanyie kazi hayo mabadiliko yako Baraka Damian Public and Motivational speaker 0712360145M

MAERE BLOGU: IT'S ALL IN YOUR MIND

MAERE BLOGU: IT'S ALL IN YOUR MIND : IT'S ALL IN YOUR MIND. Whatever you hold in your mind will tend to occur in your life.If you continue to believe as you have always be...

IT'S ALL IN YOUR MIND

IT'S ALL IN YOUR MIND. Whatever you hold in your mind will tend to occur in your life.If you continue to believe as you have always believed ,you will continue to act as you have acted. If you continue to act as you have always acted , you will continue to get what you have always gotten. If you want different results in your life or your work,all you have to do is change your mind. YOU SHOULD HAVE POSITIVE MIND TO EVERYTHING YOU DO Baraka Damian

MABADILIKO YA FIKRA

Image
MABADILIKO YA FIKRA Mabadiliko ya fikra kwenye jamii yetu yanaanza na mimi na wewe. Ili uweze kuona mabadiliko yeyote kwenye jamii yetu yanahitaji uamuzi w mtu binafsi
www.maere.com
UNINVENTED GUESTS Do you experience thoughts flashing through your mind that seem to come from nowhere ? They do come from somewhere and they are often designed to hinder you from reaching your goals . These thoughts are actually uninvited guests looking for home and it is our  job to tell them that  we have no room for them. Damian's inspiration
Habari rafiki yangu ,karibu tujifunze wote
NJIA ZA KUJIHAMASISHA MWENYEWE Utangulizi Kila mmoja wetu hukutana na magumu katika maisha yake ya kila siku. Kujihamasisha mwenyewe ni pale unapokutana na magumu ila bado anasimama na kuendelea mbele ya safari. Hakuna njia rahisi ya kupatia hamasa katika maisha. Hata baada ya kupata hamasa changamoto nyingine zinatokea hapo hapo. Ili uweze kujihamasisha lazima uwe na uwezo wa kudhibiti hisia zako. Hata kama ni mwanafunzi, mwaajiriwa, umejiajiri mwenyewe, mfanyabiashara,mkurugenzi, au mama wa nyumbani bado ni rahisi sana kufujika moyo katika maisha yetu ya kila siku. Haya mafunzo yatakusaidia kufikiri tofauti na kuwa na mtazamo chanya kwenye magumu unayokutana nayo. Leo nitajaribu kuzungumzia njia baadhi kati ya njia nyingi za kujihamasisha mwenyewe. KUWA NA MAWAZO CHANYA KUWA MZALISHAJI KUWA MKWELI KWAKO KUWA NA MAWASILIANO BINAFSI JISAMEHE MWENYEWE   Nitaelezea moja baada ya nyingine kwenye makala yangu yajayo yaitwayo AMKA TUONGEE   kuanzia mwezi wa kum