NINI KIPO KWENYE AKILI YAKO.
NINI KIPO KWENYE AKILI YAKO
Kimujazacho mtu ndio kimutokacho. Chochote ambacho kipo kwenye akili yako ndio kitakachotokea katika maisha yako. Kama ukiendelea kuamini kama unavyoamini sasa;kama utaendelea kutenda kama unavyotenda sasa, utaendelea kupata matokeo hayo hayo kila siku. Kama unataka matokeo tofauti katika maisha yako, kazi yako, badili fikra zako. Badili mtazamo wako.
Baraka Damian
Public and Motivational speaker
Email me;machumubaharack@gmail.com
+255712360145
Comments
Post a Comment