MABADILIKO KATIKA MAISHA
Kuna mambo hayajakaa sawa
katika maisha yako,kuna shida unapitia au kuna tatizo linakutatiza,tafakari
njia ya kulitatua,usitegemee mtu mwingine aje akusaidie kulitatua.Wewe ni mtu
sahihi kwenye matatizo yako mwenyewe,wewe pekee ndo unaweza kubadili mawazo
yako kulingana unavyotaka.Wewe pekee unaweza badili maisha yako.Wewe pekee
unaweza kujipatia furaha,mafanikio unapo badili mtazamo wako wa kubadili mawazo
yako. Maisha yako yabadilika utakapo badilika mwenyewe.
#1. Kaa chini tafakari wapi
unataka ubadilike
#2. Jiulize kwanini unataka
kubadilika katika sehemu hiyo
#3.fikiria na andika majibu ya
kwanini unataka kubadilika
#Nenda kafanyie kazi hayo
mabadiliko yako
Baraka Damian
Public and Motivational
speaker
Comments
Post a Comment