MAWAZO CHANYA

MTAZAMO CHANYA
Mpendwa rafiki
Kila mtu anakutana na changamoto mbalimbali katika maisha ya kila siku.Uwe ni mfanyakazi umeajiriwa na kampuni kubwa au mfanyabiashara au hauna kazi kukutana changamoto ni jambo la kawaida.
Kuna changamoto za aina mbalimbali unazokutana nazo ambazo zinakufanya urudi nyuma katika malengo yako.
Changamoto uliyonayo si kitu pale tu utaweza kujenga fikra chanya au mtazamo chanya kwenye kila changamoto unayokutana nayo.
Fundisha akili yako kuwa na uwezo mkubwa wa kukabiliana na misukosuko ya maisha.
Ili uweze kufanikiwa kwenye jambo lolote unalolifanya jenga mtazamo chanya kwenye kufanikiwa hilo jambo hilo. Kumbuka hakuna mtu hata mmoja atakayekuja kusaidia kwenye matatizo yako.Acha kulalamika hayo ni maisha yako,fanya maamuzi juu ya maisha yako. Tukutane tena kesho.
Baraka Damian
Public and Motivational Speaker
0712360145

Comments

Popular posts from this blog

MTAZAMO CHANYA vs MTAZAMO HASI

TAMBUA NGUVU ILIYOPO KATIKA FIKRA NA MANENO YAKO

Kwa nini tunafanya kazi