# Vitabu# Vitabu#@BDamian

MWAKA 2016. Ndugu na rafiki yangu, Mwaka 2016 ni mwaka uliokuwa na changamoto nyingi sana. Ni mwaka ambao mimi pia nimepitia changamoto nyingi ila napenda kumshukuru Mungu kwa kunipatia uzima na kuendelea kujifunza mambo mbalimbali katika maisha. Pia napenda kuwashukuru ndugu,jamaa na rafiki waliyotoa mchango wao mkubwa kunisaidia kufanikiwa katika mambo yangu. Wewe ni mmoja wao. Ninaomba nikushirikishe baadhi ya vitabu nilivyosoma mwaka huu: 1. The four purposes of life ( Dan Millman) 2. Don't sweat the small stuff 3. What to say when you talk to yourself ( Shad Helmster) 4. 50 Ideas that can change your life (Dr. Antony Robert) 5. Successful persuasion through public speaking( John Hayes ) 6. To capture and keep customers( zig ziglar) 7. Raising positive kids in negative world 8. Nguzo( Shemeji M) 9. Public speaking for success( Dale Carnegie) 10. Don't get it twisted love is beautiful thing( J. Estrellay) 11. The Ministry of Healing( E.G. White) 12. Secret of unlimited Prosperity(Catherine Ponder) 13. The love dare 14. Lead the field( Earl. N. ) 15. Unleashing the power of rubber(Nancy . O. ) 16. Winning life 17. Helping your child become a reader. 18. The invisible Gorilla and other ways ( C. Chabus) 19. You can win( Zeeshan) 20. I am Malala(Malala) 21. Winning( Jack and Suzy Welch) 22. Flash Foresight( Daniel Burrus) 23. 7 keys to 1000 times more( M. Murdock) 24. 7 steps to create life you desire( Kelera) 25. Kingdom principles (M. Munroe) 26. Never eat alone 27. Outliers the story of success 28. Alchemists( Paulo C) 29. Secret code of success 30. Spirit of leadership 31. Understanding your potential 32. Waiting and Dating 33. Webinar Mindsight 34. What engineer know 35. Why of work 36. Vision of reality 40. Understand the power of love 41. Ultimate leadership 42. Multiplier effect 43. The trust edge 44. The purpose of love 45. The power characteristics in leadership 46. Tens roads to riches. 47. Teamworks 48. Relatioships 49. The role of counselling in the education 50. How to success at interview 51. How to control anger 52. How Manager to become Leader 53. Reclaming 54. Taking people with you 55. The Prospering power of love 56. Principle centred leadership 57. 100 ways to motivate yourself 58. 7 steps of living at your full Potential( Joel Osteen) 59. Power thoughts 60. Sometimes you win,sometimes you learn/lose.( J. C. Maxwell) Hivi ndivyo baadhi vitabu nilivyoweza soma mwaka huu. Na: BDamian http://machumumaere.blogspot.com +255712360145

Comments

Popular posts from this blog

MTAZAMO CHANYA vs MTAZAMO HASI

TAMBUA NGUVU ILIYOPO KATIKA FIKRA NA MANENO YAKO

Kwa nini tunafanya kazi