MTAZAMO CHANYA vs MTAZAMO HASI
MTAZAMO CHANYA vs MTAZAMO HASI.
Kiwanda kikubwa cha uzalishaji wa viatu kiliwatuwa watu wawili kufanya utafiti wa soko la viatu kwenye sehemu moja. Majibu yao ya utafiti yalikuwa kama hivi:
Mtu wa kwanza: Huku hakuna soko la viatu maana hakuna mtu anayevaa viatu.
Mtu wa pili: Huku kuna soko kubwa la viatu maana hakuna mtu hata mmoja aliyevaa viatu.
Mtazamo hasi unaficha fursa iliyopo kwenye mazingira yako.
Mtazamo chanya unakuonesha fursa kubwa iliyopo kwenye mazingira yako.
Fundisha akili yako kuwa na mtazamo chanya.
Baraka Damian
+255 712 360 145
http://machumumaere.blogspot.com
Comments
Post a Comment