MTAZAMO CHANYA 1

MTAZAMO CHANYA 1. Habari njema ya wana na binti wa Mungu walioahidiwa nchi ya ahadi iliyoitwa Kanaani(Canaan). Mungu akusema utakapoiendea hiyo nchi hatakuna na vikwazo(changamoto). Mungu alichosema hiyo ni nchi yenu ya ahadi, inatakiwa kuishi hapo. Mungu akifanya agano na watu wake anamaanisha hivyo. Ukiendelea kuisoma habari hii utangundua kuna watu 12 walipewa kazi ya kuchunguza nchi ile ili warudishe taarifa kama nchi ile kweli ndio nchi ya ahadi. Katika ya watu 12,watu wawili tu ndo waliyorudisha majibu mazuri kuwa ndio yenyewe twende sasa tukamiliki. Mtazamo hasi huleta anguko kubwa katika maisha yetu. Mtazamo chanya huleta ushindi mkubwa katika maisha yetu hata kama kuna changamoto kubwa kiasi gani utashinda maana umekwisha amini. Baraka Damian +255 712 360 145 http://machumumaere.blogspot.com

Comments

Popular posts from this blog

MTAZAMO CHANYA vs MTAZAMO HASI

TAMBUA NGUVU ILIYOPO KATIKA FIKRA NA MANENO YAKO

Kwa nini tunafanya kazi