NJIA ZA KUJIHAMASISHA MWENYEWE
Utangulizi
Kila mmoja wetu
hukutana na magumu katika maisha yake ya kila siku. Kujihamasisha mwenyewe ni
pale unapokutana na magumu ila bado anasimama na kuendelea mbele ya safari.
Hakuna njia rahisi ya kupatia hamasa katika maisha. Hata baada ya kupata hamasa
changamoto nyingine zinatokea hapo hapo. Ili uweze kujihamasisha lazima uwe na
uwezo wa kudhibiti hisia zako.
Hata kama ni mwanafunzi, mwaajiriwa, umejiajiri
mwenyewe, mfanyabiashara,mkurugenzi, au mama wa nyumbani bado ni rahisi sana
kufujika moyo katika maisha yetu ya kila siku. Haya mafunzo yatakusaidia
kufikiri tofauti na kuwa na mtazamo chanya kwenye magumu unayokutana nayo.
Leo nitajaribu kuzungumzia njia baadhi kati ya njia
nyingi za kujihamasisha mwenyewe.
- KUWA NA MAWAZO CHANYA
- KUWA MZALISHAJI
- KUWA MKWELI KWAKO
- KUWA NA MAWASILIANO BINAFSI
- JISAMEHE MWENYEWENitaelezea moja baada ya nyingine kwenye makala yangu yajayo yaitwayo AMKA TUONGEE kuanzia mwezi wa kumi. Karibu sana.
IMEANDIKWA NA
BARAKA DAMIAN
PUBLIC AND MOTIVATIONAL SPEAKER
Comments
Post a Comment