Posts

Showing posts from October, 2016

CHAGUA KUWA NA FURAHA

CHAGUA KUWA NA FURAHA Furaha ni changuo. Ndugu mpendwa na msomaji ya makala haya. Leo tutaongelea kuwa na furaha maishani. Maisha yetu yanahitaji tuwe na furaha kila mara lakini ni vigumu kuwa na furaha wakati wote. Furaha ndio inasababisha tufanye kazi vizuri. Huzuni ni adui mkubwa wa mafanikio. Tunapitia mambo makubwa na magumu katika maisha yetu lakini kuhuzuni hakuwezi kubadili changamoto hizo tunazokutana nazo kila siku. Kwa hiyo badala ya kuhuzunika tunatakiwa tuchague kuwa na furaha hata kwenye magumu yote tunayopitia kila siku. Furaha ni uamuzi unaoamua kufanya na wala siyo hisia unazokuwa nazo. Kuna vitu maishani mwetu hatuwezi kuvibadilisha kwa hiyo tunatakiwa tukubaliane navyo ili maisha yaendelee. Maisha ni zawadi tuliyopewa na Mungu ni lazima tufurahi hiyo zawadi tuliyopewa. Baraka Damian Public and Motivational Speaker +255712360145 Sambaza kwa watu wengine pia.

DON'T WORRY

Hello my dear friend Welcome " Don't worry about things you can't change ." Realize that your environment does not prevent you from being happy. Don't worry about things you can't change. You can't change the traffic in the morning. You can't fix everybody at work. You can't  change your family member be like what you want. But you shouldn't let that keep you from being happy. Bloom anyway, and focus on the things that you can change. You can change your own attitude. You can choose to be happy right where you are. Your friend Baraka Machumu Public and Motivational Speaker 0712360145.

TABIA YAKO NDIO MAFANIKIO YAKO

TABIA YAKO NDIO MAFANIKIO YAKO Ndugu na rafiki mpendwa Karibu sana katika makala ya leo Makala ya leo inazungumzia kuhusu tabia tulizonazo namna gani zinachangia katika mafanikio yetu kwa ujumla. Moja kati ya kazi za lazima ambazo hutakiwi kukosa kuzifanya kwenye kila siku ambayo Mungu amekupa. Ni kazi zinazokujengea tabia mpya(tabia chanya). Tofauti kati  yako wewe na malengo yako iko tabia zako,haiwezekani ukatimiza malengo yako uliyonayo ukiwa tabia  hizo ulizonazo sasa(tabia hasi). Moja kati ya mchakato muhimu unaohitaji kuupitia kwa sasa ili uweze kutimiza malengo yako uliyonayo,unahitaji kujenga tabia mpya zinzzoendana na malengo uliyonayo. Na ili uweze kujenga tabia mpya utahitaji ubadilishe ratiba yako ya kila siku,yaani ni kwamba kuna mambo yale unayoyafanya mara kwa mara na tena kila siku kwa sababu ya tabia yako yanakuwa ni matendo yako ya kila siku. Moja kati ya kitu unachotakiwa kufanya kubadilisha hali hiyo,kazi mpyalazima uifanyee ndani ya siku yako na uta
<body g_editable="true" hidefocus="true" contenteditable="true" class="editable " id="postingComposeBox" style="min-width: 0px; direction: ltr; text-align: left; width: 653px;" role="textbox" data-g-ac-active="true"><p><br></p></body>

YOUR RESPONSIBLE AS YOUTH

Image

YOUR TRUTH IS MATTER IN YOUR LIFE

Image

TAMBUA NGUVU ILIYOPO KATIKA FIKRA NA MANENO YAKO

TAMBUA NGUVU ILIYOPO KATIKA FIKRA NA MANENO YAKO. Ndugu,rafiki na msomaji wa makala zangu Leo ni siku nyingine tena ambayo nakuletea makala hii nzuri ya jinsi gani ya kutambua nguvu iliyopo katika fikra na maneno unayojisemea wewe mara kwa mara. Kama unahitaji kuishi maisha yenye furaha na amani lazima utambue nguvu iliyoko ndani yako. Nguvu ambayo unaitoa kila siku juu yako wewe mwenyewe. Fikra unazofikiria kila mara ndio matokeo halisi yanayotokea katika maisha yako. Kama ukiendelea kushikiria mawazo hasi,utaendelea pata matokeo hasi kwenye kila nyanja unayojaribu kufanya, utazungukwa na watu wenye mawazo au fikra hasi. Hutaweza kufanikisha malengo yako. Maisha hufuata fikra zako. Kama unafikiria mawazo chanya,mawazo ya kufanikiwa,yenye furaha utakuwa mtu mwenye furaha na utaweza kuchukuliana na changamoto zote zinazotokea katika maisha yako. Tambua kuwa hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kukupangia kitu cha kufikiria ila wewe mwenyewe ndiye mtawala wa fikra na mawazo yako yote.

TEACH YOUR MIND TO WORK FOR YOU

TEACH YOUR MIND TO WORK FOR YOU .         Dear my friend, Do you know that your mind can either work for you or against you, depending on how train it? When it works for you,it helps you stay positive,reach your goals in life,  and think the kinds of thoughts that enable you to enjoy each day. When it works against you, it can make you negative and discouraged hold you back from accomplishing what you want(need) to do, and cause you to think the kinds of thoughts that result in self sabotage. The way you think is voluntary and you can control your thoughts. I want you to give your brain a new job and begin to teach your mind to work for you instead of against you. One important way to do this is to make the intentional decision  that you will begin to think positively. I realize your brain won't be able to fulfill the new role completely overnight. You  may be asking it to undergo a radical transformation and that will take time. So give it a little time, your brain will go

Semi za Baraka

" Ili ufanikiwe, nia ya kufanikiwa inatakiwa kuwa kubwa kuliko uwonga wa kushindwa" Baraka Damian Machumu Email me:machumubaharack@gmail.com +255712360145

Elimu Elimu

NINI KIPO KWENYE AKILI YAKO.

NINI KIPO KWENYE AKILI YAKO Kimujazacho mtu ndio kimutokacho. Chochote ambacho kipo kwenye akili yako ndio kitakachotokea katika maisha yako. Kama ukiendelea kuamini kama unavyoamini sasa;kama utaendelea kutenda kama unavyotenda sasa, utaendelea kupata matokeo hayo hayo kila siku. Kama unataka matokeo tofauti katika maisha yako, kazi yako, badili fikra zako. Badili mtazamo wako. Baraka  Damian Public and Motivational speaker Email me;machumubaharack@gmail.com +255712360145

THREE KEYS TO ON POSITIVE THINKING

THREE KEYS It's amazing how quickly and completely  our thoughts can change our moods. Negative thinking of any kind quickly steal our  joy and causes a variety of bad moods. I want to share with you three(3) keys to great thinking. They all work but none of them happens accidentally  or without effort. If you want them to be effective in your life, you will have to incorporate  them into your thinking purpose. #1. Set your mind   and keep it setting . Setting your mind is probably one of the greatest and most beneficial things youb can learn to do. To set your mind means to make up your mind firmly. I strongly encourage you to be one of ones who finishes what you start by keeping your mind set in the right direction all the way through to victory. #2. Renew your mind. An unrenewed mind id one that is never changed after knowing the truth. #3. Gird up y our mind . Gird up your mind means to get your minds off of everything that would cause us to stumble as we run

You can not escape any step in process of success

#cymera

TUPA HILO BEGI

TUPA MBALI BEGI LA KUVUNJIKA MOYO . Ndugu yangu mpendwa, Kila mmoja wetu ana begi lake la kuvunjika moyo. Ni begi dogo sana na lisiloonekana ila tumelibeba kila muda tunatembea nalo. Pale changamoto inapotokea ndipo hilo begi linaonekana, ndipo tunavunjika moyo na kuacha kile ambacho tulikuwa tunakifanya. Ninachojaribu kukuambia hapa leo ndugu yangu achana nalo hilo begi, kalitupe mbali kabisa na usijaribu kulirudi tena. Acha nalo kabisa badala nenda kachukue begi la naweza kufanya.Begi naweza kufanya hili jambo hili hata kama changamoto zinisonge vipi nitafanya na nitashinda. "do not let your mind get in your way,you can do whatever you decide to do.... No excuses, only results" Baraka Damian Public and Motivational Speaker 0712360145 machumubaharack@gmail.com http/:machumumaere. Spotblog. com

MAWAZO CHANYA

MTAZAMO CHANYA Mpendwa rafiki Kila mtu anakutana na changamoto mbalimbali katika maisha ya kila siku.Uwe ni mfanyakazi umeajiriwa na kampuni kubwa au mfanyabiashara au hauna kazi kukutana changamoto ni jambo la kawaida. Kuna changamoto za aina mbalimbali unazokutana nazo ambazo zinakufanya urudi nyuma katika malengo yako. Changamoto uliyonayo si kitu pale tu utaweza kujenga fikra chanya au mtazamo chanya kwenye kila changamoto unayokutana nayo. Fundisha akili yako kuwa na uwezo mkubwa wa kukabiliana na misukosuko ya maisha. Ili uweze kufanikiwa kwenye jambo lolote unalolifanya jenga mtazamo chanya kwenye kufanikiwa hilo jambo hilo. Kumbuka hakuna mtu hata mmoja atakayekuja kusaidia kwenye matatizo yako.Acha kulalamika hayo ni maisha yako,fanya maamuzi juu ya maisha yako. Tukutane tena kesho. Baraka Damian Public and Motivational Speaker 0712360145

BADILI CHANELI(CHANGE THE CHANNEL)

BADILI CHANELI (CHANGE THE CHANNEL) Wote tunajua kutumia rimoti (remote controler) kubadili chaneli kwenye TV zetu. Kama ukiangalia kitu ambacho hukipendi hakuna shida unabadili chaneli na kuweka chaneli nyingine ambayo utapata kitu unachokipenda kukitazama kwa wakati huo. Tunatakiwa tujifunze namna ya kubadili chaneli za fikra zetu pale tunapokutana na mtazamo wa fikra hasi kwenye maisha yetu ya kila siku. Kwq hali ya kushangaza hii hali ikitokea kwa watu wengi hulizika nayo badala kubadilisha chaneli zao za mtazamo kutoka mtazamo hasi kwenda mtazamo chanya wao huvuta viti na kukaa na kuangiza vinywaji wanavyovipendelea na kuendelea kuburudika wakiendelea kutazama chaneli ileile ambayo huipendi. Unakumbuka maumivu na mateso uliyopitia zamani. Unapoteza furaha na amani moyoni mwako. Jifunze kubadili chaneli ya fikra  ambayo huipendi, ambayo inakuletea mawazo hasi, mawazo yanayokubomoa na kukupotezea nguvu zako zote. #Tazama mambo mazuri ambayo umeshawahi fanya #Tambua wewe ni wa

TOKA NJE YA BOKSI

TOKA KWENYE NJE YA BOKSI Hapo zamani za kale alikuwepo kijana aliyepata ulemavu wa mguu,madaktari wakatoa ushauri kwa mzazi wake kuwa anatakiwa awekwe kwenye boksi kwa muda mrefu hadi atakapo pata nafuu. Mara kwa mara mzazi wake alikuwa anakwenda naye kila mahali atakapo kwenda. Baada ya muda mrefu, yule kijana alianzisha tabia ambayo hakumpendezea mzazi wake, kijana aligongagonga boksi ili aweze kutoka, siku moja aliweza kuligonga hadi likaanguka na akaweza kutoka nakutembea pekee yake. Alijifunza kutembea na akaweza kutembea vizuri kabisa. Huyu kijana alifanya kitu ambacho wengine walishangaa ambacho watu wengi hawakuamini kama inawezekana. Huyu kijana alikataa kukaa kwenye boksi ambalo mtu mwingine alimuweka ndani yake na akaamua atokee pekee yake. Kuna mtu au kitu kimekuweka kwenye boksi ambalo unataka kutoka. Toka sasa. Kila mmoja wetu anakutana na changamoto katka maisha. Jiandae kifikra kuzishinda hizo changamoto. Decide to rock your box until it falls apart. Baraka Damian

MAPINDUZI YA FIKRA

AMKA TUONGEE---:#Nini kipo kwenye akili yako? #Kimujazacho mtu ndo kimutokacho. Chochote ambacho kipo kwenye akili au fikra yako ndo kitakachotokea kwenye maisha yako. Kama ukiendelea kuamini kama unavyoamini sasa, kama utaendelea fanya kama unavyofanya sasa,utaendelea kupata matokeo yanayofanana kila mara hadi pale utapobadili fikra zako. Kama unataka matokeo tofauti katika maisha yako,kazini kwako, kwenye biashara yako na hata kwenye familia yako. Badili fikra yako. Badili mtazamo wako. # Badili mtazamo wako kwenye changamoto zote unazokutana nazo. #Kuwa na mtazamo chanya kwenye keep la changamoto unayokutana nayo kwenye maisha. #Jaribu kutatua matatizo yako mwenyewe. #Amini kuwa una uwezo mkubwa kukabiliana na changamoto yeyote inayojitokeza katika safari hii ya maisha. #Amini kuwa Mungu amekupatia uwezo mkubwa wa kutatua matatizo na changamoto zinazojitokeza katika maisha yako. #Baraka Damian Public and Motivational Speaker 0712360145

MABADILIKO KATIKA MAISHA

Image
                                                                                                                                                                   Kuna mambo hayajakaa sawa katika maisha yako,kuna shida unapitia au kuna tatizo linakutatiza,tafakari njia ya kulitatua,usitegemee mtu mwingine aje akusaidie kulitatua.Wewe ni mtu sahihi kwenye matatizo yako mwenyewe,wewe pekee ndo unaweza kubadili mawazo yako kulingana unavyotaka.Wewe pekee unaweza badili maisha yako.Wewe pekee unaweza kujipatia furaha,mafanikio unapo badili mtazamo wako wa kubadili mawazo yako. Maisha yako yabadilika utakapo badilika mwenyewe. #1. Kaa chini tafakari wapi unataka ubadilike #2. Jiulize kwanini unataka kubadilika katika sehemu hiyo #3.fikiria na andika majibu ya kwanini unataka kubadilika #Nenda kafanyie kazi hayo mabadiliko yako Baraka Damian Public and Motivational speaker 0712360145M

MAERE BLOGU: IT'S ALL IN YOUR MIND

MAERE BLOGU: IT'S ALL IN YOUR MIND : IT'S ALL IN YOUR MIND. Whatever you hold in your mind will tend to occur in your life.If you continue to believe as you have always be...

IT'S ALL IN YOUR MIND

IT'S ALL IN YOUR MIND. Whatever you hold in your mind will tend to occur in your life.If you continue to believe as you have always believed ,you will continue to act as you have acted. If you continue to act as you have always acted , you will continue to get what you have always gotten. If you want different results in your life or your work,all you have to do is change your mind. YOU SHOULD HAVE POSITIVE MIND TO EVERYTHING YOU DO Baraka Damian

MABADILIKO YA FIKRA

Image
MABADILIKO YA FIKRA Mabadiliko ya fikra kwenye jamii yetu yanaanza na mimi na wewe. Ili uweze kuona mabadiliko yeyote kwenye jamii yetu yanahitaji uamuzi w mtu binafsi