Malezi ya mtoto

Malezi ya mtoto
Mtoto anajifunza kwa mfano na siyo kwa maneno!
Mtoto anajifunza kwa kutazama kile kinachomzunguka pake alipo inawezekana ni kwa wazazi wake au jamii inayomzunguka,mtoto hana maneno ila yeye ana vitendo
Kwa hiyo Mzazi/ mlezi na jamii inatakiwa iwe makini kulingana kile inachokifanya mbele ya mtoto!!!!

Comments

Popular posts from this blog

MTAZAMO CHANYA vs MTAZAMO HASI

TAMBUA NGUVU ILIYOPO KATIKA FIKRA NA MANENO YAKO

Kwa nini tunafanya kazi