Posts

Heri ya mwaka mpya 2017

MWAKA 2016. Ndugu na rafiki yangu, Mwaka 2016 ni mwaka uliokuwa na changamoto nyingi sana. Ni mwaka ambao mimi pia nimepitia changamoto nyingi ila napenda kumshukuru Mungu kwa kunipatia uzima na kuendelea kujifunza mambo mbalimbali katika maisha. Pia napenda kuwashukuru ndugu,jamaa na rafiki waliyotoa mchango wao mkubwa kunisaidia kufanikiwa katika mambo yangu. Wewe ni mmoja wao. Ninaomba nikushirikishe baadhi ya vitabu nilivyosoma mwaka huu: 1. The four purposes of life ( Dan Millman) 2. Don't sweat the small stuff 3. What to say when you talk to yourself ( Shad Helmster) 4. 50 Ideas that can change your life (Dr. Antony Robert) 5. Successful persuasion through public speaking( John Hayes ) 6. To capture and keep customers( zig ziglar) 7. Raising positive kids in negative world 8. Nguzo( Shemeji M) 9. Public speaking for success( Dale Carnegie) 10. Don't get it twisted love is beautiful thing( J. Estrellay) 11. The Ministry of Healing( E.G. White) 12. Secret of unlimited ...

All together

"When the man is all together,his world is all together" BDamian http://machumumaere.blogspot.com

What you think about

"You will become what you think about" We become what we think about. BDamian +255712360145 http://machumumaere.blogspot.com

Song

https://plus.google.com/+machumubaharack/posts/gaA2fKgpMAy?_utm_source=1-2-2

# Vitabu# Vitabu#@BDamian

MWAKA 2016. Ndugu na rafiki yangu, Mwaka 2016 ni mwaka uliokuwa na changamoto nyingi sana. Ni mwaka ambao mimi pia nimepitia changamoto nyingi ila napenda kumshukuru Mungu kwa kunipatia uzima na kuendelea kujifunza mambo mbalimbali katika maisha. Pia napenda kuwashukuru ndugu,jamaa na rafiki waliyotoa mchango wao mkubwa kunisaidia kufanikiwa katika mambo yangu. Wewe ni mmoja wao. Ninaomba nikushirikishe baadhi ya vitabu nilivyosoma mwaka huu: 1. The four purposes of life ( Dan Millman) 2. Don't sweat the small stuff 3. What to say when you talk to yourself ( Shad Helmster) 4. 50 Ideas that can change your life (Dr. Antony Robert) 5. Successful persuasion through public speaking( John Hayes ) 6. To capture and keep customers( zig ziglar) 7. Raising positive kids in negative world 8. Nguzo( Shemeji M) 9. Public speaking for success( Dale Carnegie) 10. Don't get it twisted love is beautiful thing( J. Estrellay) 11. The Ministry of Healing( E.G. White) 12. Secret of unlimited ...

IT IS GOING TO HURT.

IT IS GOING TO HURT. Learning is not something that stops when we are handed a diploma or degrees. In fact that is actually the point when real learning begins. The lessons we are given in school are not the things that carry us through life,those are just the lessons those give us the basic tools to face the real world outside the classroom walls. And that real world is going to sting. It is going to hurt. Sometimes it is going to bump and bruise you, other times it is going to knock you off. You need to react carefully with those challenges. By BDamian Public and Motivational Speaker +255 712 360 145 http://machumumaere.blogspot.com

Uchambuzi wa kitabu cha Lead the field

Habari ndugu na rafiki, Kwanza, napenda kuwashukuru wote ambao umekuwa mkisoma makala yangu katika mwaka huu Pili, napenda kuwajulisha kuwa kati ya makala nitakazoziandika mwisho mwa mwaka itakuwepo makala ya vitabu nilivyosoma mwaka huu Niwatakie sherehe njema na baraka tele tunapomaliza mwaka huu. Mambo niliyojifunza kutoka katika kitabu LEAD THE FIELD kilichoandikwa na EARL .N. 1. Kila binadamu ameumba na uwezo mkubwa wa kutengeneza maisha yake mwenyewe. Hakuna mtu ambaye atafanikiwa kisa ndugu yake au baba au mama yake amefanikiwa. 2. Kufanikiwa au kushindwa kwa binadamu hahitaji bahati au mazingira. Kufanikiwa ni lazima kuachana na mitazamo hasi tuliyonayo katika jamii yetu. 3. Mtazamo wako. Mtazamo wako ni mchango mkubwa sana katika mafanikio yako ya kila siku. Unatazamaje changamoto unazokutana nazo kila siku kwenye biashara yako. Changamoto zipi unakutana nazo na namna gani unakabiliana nazo kwa namna ipi? 4. Kanuni na taratibu. Ili uweze kufanikiwa lazima uweze kufuata tarat...

PROSPERITY LAWS by Baraka Damian

Uncommon Dream

The uncommon dream will always influence what you do first each morning. What you do first every morning is an indication of what you consider the most valuable and important thing you can do with your life

SET YOUR MIND

SET YOUR MIND ON HIGHER THINGS Dear my friend Many do not realize it but you can choose your thoughts. Nobody can make us think about something. You decide what you will entertain in your mind. Baraka Damian

MEANING IN LIFE

MEANING IN LIFE Dear friends of mine Welcome to my article Today we are going to learn about how to find our full meaning in our life. The learn of today is amazing article There are three questions which we need to ask our self. These are: 1. Why am I here? 2. Who am I ? 3. What is my purpose ? Knowing your life's purpose gives new meaning to everything in your life. When you know your purpose, every morning you open your eyes, you see a day filled with  possibilities. There is one thing in this world, which you must never forget to do. Human beings come into this world to do particular work. That work is their purpose and each is specific to the person. Your friend Damian  Baraka

9 ways of to control your anger by Baraka DM

9 ways to  control your anger . Anger is a completely normal, usually human emotion. But when  it  gets out if control and turns destructive it can lead to problems-problems at work, in your personal relationships, and in the overall quality of your life. Here some ways to use to control anger 1. When you are anger say nothing . Don't speak anything when you are anger because you will definitely aggravate the situation and quite likely hurt the feeling of other. When someone speaking remain silent  or respond in kind way. 2. Be indifferent to those who seek to make you angry. Some people may unfortunately take a malicious pleasure  in trying to make you mad. However, if you can feel indifferent to them and their words. If you feel  it is beyond  our dignity to even to acknowledge them, then their words and actions will have no effects. 3. Use a reason to stop anger. When you feel say to yourself that"this anger will not help me in any...

TEMBEA NA WATU SAHIHI

TEMBEA NA WATU SAHIHI Ndugu na rafiki yangu Leo ni siku nyingine tena ambayo mwenyezi Mungu ametupatia ili tufanye jambo ambalo ametuitia kwenye uso huu wa dunia. Ili tuweze timiza ndoto zetu kuna jambo moja nahitaji tujadili ili kutufanikisha kutimiza malengo na ndoto zetu. Mahusiano ni jambo ambalo ni muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Kila siku unahusiana na watu mbalimbali ili tuweze kufanikisha malengo na jambo lolote lilopo mbele yetu. Lakini siyo kila mahusiano ni mazuri. Lazima tuangalie ni watu gani tunahusiana nao,wengine hawawezi kusaidia kufikia malengo yako. Tunatakiwa tuhusiane na watu ambao wamefanikiwa na pia wanahamasa ya kufanya kazi kwa bidii. Watu ambao wana mawazo hasi watazima mto ulioko kwenye fikra zako. Kama kweli umeanza safari hii ya mafanikio lazima utafute watu watakusaidia kufikia kule unakotaka kwenda bila kuchelewa. Hata kama ni familia yako lakini hakuhamasishi kufikia ndoto zako acha nao ila waheshimu maana ndio ndugu zako pekee. Watu tun...

MIRACLES COME IN "CANS"

Image
Yes, i can do that.

PROBLEMS ARE FOR SOLVING.

PROBLEMS ARE FOR SOLVING . Dear friend of mine Welcome to this article of today. I am going to speak about how problems are solving. This is incredible article which it help you my friend to go forward in this life. Welcome again. Problems are for solving . You can't expect to go through life without meeting problems, difficulties, perplexities, frustrations are inevitable part of human experience. Accept this idea of the inevitability of problems, avoid a spirit of defeatism or pessimistic fatalism. You may have to face problems, but that does not mean that you are to be helpless in their throes, tossed about like a cork on the ocean. Courage , clear thinking   and fait h will enable you to negotiate the Stormy seas of life and the experience will make you wiser and maturer. You will not have succumbed to your problems rather they'll have made a contribution to your development. When confronted with problem, the first thing to do is to gather all relevant data. G...

TUMAINI KWENYE MAISHA

TUMAINI KWENYE MAISHA. Ndugu na rafiki yangu mpendwa, Leo katika makala yangu nitaongelea umuhimu wa kuwa na tumaini kwenye maisha. Tumaini ni hali ya akili kutarajia mambo chanya yatatokea ukihusisha na hali ya maisha ulionayo kwa sasa. Ninajua kwa sasa unapitia mambo hali gumu na changamoto kwenye maisha yako. Umefujikafujika na changamoto za kila siku. Kitu ninachoweza kukuambia kuwa ni vyema uwe na tumaini kwenye maisha yako kuwa ipo siku mambo yatakuwa na wewe utafanikiwa kwenye maisha.Kuwa na tumaini kuwa hayo matatizo na changamoto unazopitia kwa sasa ipo siku yataisha. Utakapo kuwa na tumaini kwenye maisha yako itakusaidia kuendelea kupambana na changamoto za kila siku na utakuwa mshindi. Kesho na tumaini.Kesho na tumaini vinaenda pamoja bila tumaini hakuna kesho katika maisha yako. Tumaini inahamasisha. Ukiwa na tumaini utahamasika kufanya kazi kwa bidii. Tumaini inakupatia nguvu ya kukanyanga kesho kwa kishindo. Nakuomba uwe na tumaini kwenye maisha yako....

BE CONTENT WHERE YOU ARE

BE CONTENT Be content where you are. Dear friend, to be content doesn't mean you should sit back, fatalistically accepting life's problems or troubles or challenges which face you, it doesn't mean you should live life like a wandering generality, unmotivated and undisciplined. To be content simply means trust God enough that you don't get frustrated when things don't go your way. You don't allow circumstances to steal your joy and keep you from being happy. You can choose to be happy and stay happy no matter what comes in your way to your success. Stop all those circumstances which make you down. Stop all little things get the best of you. All happen  in your life begin from your mind,so you are going to set your mind to high level. You are going to value your values in high standards. You  are not common person, you are special one.  No one like you. God created you as unique person,don't let someone to put you down. You are gifted. You are talen...

CHAGUA KUWA NA FURAHA

CHAGUA KUWA NA FURAHA Furaha ni changuo. Ndugu mpendwa na msomaji ya makala haya. Leo tutaongelea kuwa na furaha maishani. Maisha yetu yanahitaji tuwe na furaha kila mara lakini ni vigumu kuwa na furaha wakati wote. Furaha ndio inasababisha tufanye kazi vizuri. Huzuni ni adui mkubwa wa mafanikio. Tunapitia mambo makubwa na magumu katika maisha yetu lakini kuhuzuni hakuwezi kubadili changamoto hizo tunazokutana nazo kila siku. Kwa hiyo badala ya kuhuzunika tunatakiwa tuchague kuwa na furaha hata kwenye magumu yote tunayopitia kila siku. Furaha ni uamuzi unaoamua kufanya na wala siyo hisia unazokuwa nazo. Kuna vitu maishani mwetu hatuwezi kuvibadilisha kwa hiyo tunatakiwa tukubaliane navyo ili maisha yaendelee. Maisha ni zawadi tuliyopewa na Mungu ni lazima tufurahi hiyo zawadi tuliyopewa. Baraka Damian Public and Motivational Speaker +255712360145 Sambaza kwa watu wengine pia.

DON'T WORRY

Hello my dear friend Welcome " Don't worry about things you can't change ." Realize that your environment does not prevent you from being happy. Don't worry about things you can't change. You can't change the traffic in the morning. You can't fix everybody at work. You can't  change your family member be like what you want. But you shouldn't let that keep you from being happy. Bloom anyway, and focus on the things that you can change. You can change your own attitude. You can choose to be happy right where you are. Your friend Baraka Machumu Public and Motivational Speaker 0712360145.

TABIA YAKO NDIO MAFANIKIO YAKO

TABIA YAKO NDIO MAFANIKIO YAKO Ndugu na rafiki mpendwa Karibu sana katika makala ya leo Makala ya leo inazungumzia kuhusu tabia tulizonazo namna gani zinachangia katika mafanikio yetu kwa ujumla. Moja kati ya kazi za lazima ambazo hutakiwi kukosa kuzifanya kwenye kila siku ambayo Mungu amekupa. Ni kazi zinazokujengea tabia mpya(tabia chanya). Tofauti kati  yako wewe na malengo yako iko tabia zako,haiwezekani ukatimiza malengo yako uliyonayo ukiwa tabia  hizo ulizonazo sasa(tabia hasi). Moja kati ya mchakato muhimu unaohitaji kuupitia kwa sasa ili uweze kutimiza malengo yako uliyonayo,unahitaji kujenga tabia mpya zinzzoendana na malengo uliyonayo. Na ili uweze kujenga tabia mpya utahitaji ubadilishe ratiba yako ya kila siku,yaani ni kwamba kuna mambo yale unayoyafanya mara kwa mara na tena kila siku kwa sababu ya tabia yako yanakuwa ni matendo yako ya kila siku. Moja kati ya kitu unachotakiwa kufanya kubadilisha hali hiyo,kazi mpyalazima uifanyee ndani ya siku ya...