Posts

NGUVU YA MUDA

Ndugu wasomaji makala zangu. Leo napenda kuwashirikisha makala nzuri ya NGUVU YA MUDA. Makala hizi zitakuwa za mfululizo zikizungumzia mafanikio katika kutumia muda kwa hekima na busara. Karibuni kwa siku ya leo. Kila binadamu anayeishi katika dunia hii ana muda sawa na mwenzake awe ni fukara au tajiri wote wana muda sawa. Ila kitu kinacho tutofautisha ni namna tunavyoutumia muda. Kama wote tungeweza kutumia kwa hekima na busara kubwa tungefanikiwa kufanikiwa katika nyanja ya kutumia muda vizuri. Muda ni rasimali ambayo inakwisha na hairudi tena. Tumekuwa tukifanya kazi ila muda hutoshi ni kwa sababu hatujajua namna ya kutumia muda kwa busara. Katika makala hizi tunaendelea kujifunza mbinu za kutumia muda vizuri. Niwatie moyo tu kuwa kutumia muda vizuri ni ujuzi unajifunzwa. Karibuni kwa kujifunza katika mada hii ya NGUVU YA MUDA. Ni Mimi rafiki yako Mwandishi Baraka D Machumu.

Mkaa Mbadala

Take a look at @BMachumu17's Tweet: https://twitter.com/BMachumu17/status/942235875018240000?s=09

Malezi ya mtoto

Malezi ya mtoto Mtoto anajifunza kwa mfano na siyo kwa maneno! Mtoto anajifunza kwa kutazama kile kinachomzunguka pake alipo inawezekana ni kwa wazazi wake au jamii inayomzunguka,mtoto hana maneno ila yeye ana vitendo Kwa hiyo Mzazi/ mlezi na jamii inatakiwa iwe makini kulingana kile inachokifanya mbele ya mtoto!!!!

GREAT PLACE-- TOUR

Image

CALM DOWN

It is always possible to be an island of calm in a sea of confusion, if you take control at the very least of your own area of responsibility. Baraka Damian +255 712 360145 Blog: http:machumumaere.blogspot.com

SELF CONTROL

It is always possible to be an island of calm in a sea of confusion, if you take control at the very least of your own area of responsibility. Baraka Damian +255 712 360145 Blog: http:machumumaere.blogspot.com

T. I. M. E.

We each have a personal perspective of time but most of us are not aware that we have subconscious feeling about time. Most people have a poorly defined sense of how they spend their time. Baraka Damian +255 712 360 145 http:machumumaere.blogspot.com