Heri ya mwaka mpya 2017
MWAKA 2016. Ndugu na rafiki yangu, Mwaka 2016 ni mwaka uliokuwa na changamoto nyingi sana. Ni mwaka ambao mimi pia nimepitia changamoto nyingi ila napenda kumshukuru Mungu kwa kunipatia uzima na kuendelea kujifunza mambo mbalimbali katika maisha. Pia napenda kuwashukuru ndugu,jamaa na rafiki waliyotoa mchango wao mkubwa kunisaidia kufanikiwa katika mambo yangu. Wewe ni mmoja wao. Ninaomba nikushirikishe baadhi ya vitabu nilivyosoma mwaka huu: 1. The four purposes of life ( Dan Millman) 2. Don't sweat the small stuff 3. What to say when you talk to yourself ( Shad Helmster) 4. 50 Ideas that can change your life (Dr. Antony Robert) 5. Successful persuasion through public speaking( John Hayes ) 6. To capture and keep customers( zig ziglar) 7. Raising positive kids in negative world 8. Nguzo( Shemeji M) 9. Public speaking for success( Dale Carnegie) 10. Don't get it twisted love is beautiful thing( J. Estrellay) 11. The Ministry of Healing( E.G. White) 12. Secret of unlimited ...