MAERE BLOGU: IT'S ALL IN YOUR MIND: IT'S ALL IN YOUR MIND. Whatever you hold in your mind will tend to occur in your life.If you continue to believe as you have always be...
Tarehe 21/01/2017 Mambo niliyojifunza kutoka kitabu cha "Why we work kilichoandikwa na Barry Schwartz Kila mtu ana sababu kwa nini anafanya kazi 1. Tunafanya kazi ili tuwe na furaha katika maisha yetu. Mtu ambaye anafanya kazi ana furaha. 2. Kazi ni kipimo cha ushirikiano. Ili uonekane kuwa una ushirikiano na watu au jamii yako lazima ufanye kazi. 3. Mabadiliko katika sehemu za kazi. Mabadiliko katika sehemu za kazi hatuyapati kwa siku moja yanahitaji muda lakini tunatakiwa tuendelee kufanya kazi tusisumbilie yawe vizuri. 4. Uzoefu. Katika maisha yetu kufanya kazi umekuwa ni uzoefu wa muda mrefu tunafanya kazi kwa ajili ya kupata pesa wakati wengine wanafaidika na kazi tunazofanya.. 5. Kufungamana na kazi unayoifanya. Ili kuwe na matokeo chanya lazima ufungamane na kazi unayoifanya. 6. Dhamira(meaningful) kwenye kazi. Kuwa dhamira au kusudi nzuri katika kazi unayoifanya hata kwenye magumu utasimama kutekeleza kazi yako. 7. Kuchukua majukumu. Kwa wale tunapata nafasi y...
Habari ndugu na rafiki, Kwanza, napenda kuwashukuru wote ambao umekuwa mkisoma makala yangu katika mwaka huu Pili, napenda kuwajulisha kuwa kati ya makala nitakazoziandika mwisho mwa mwaka itakuwepo makala ya vitabu nilivyosoma mwaka huu Niwatakie sherehe njema na baraka tele tunapomaliza mwaka huu. Mambo niliyojifunza kutoka katika kitabu LEAD THE FIELD kilichoandikwa na EARL .N. 1. Kila binadamu ameumba na uwezo mkubwa wa kutengeneza maisha yake mwenyewe. Hakuna mtu ambaye atafanikiwa kisa ndugu yake au baba au mama yake amefanikiwa. 2. Kufanikiwa au kushindwa kwa binadamu hahitaji bahati au mazingira. Kufanikiwa ni lazima kuachana na mitazamo hasi tuliyonayo katika jamii yetu. 3. Mtazamo wako. Mtazamo wako ni mchango mkubwa sana katika mafanikio yako ya kila siku. Unatazamaje changamoto unazokutana nazo kila siku kwenye biashara yako. Changamoto zipi unakutana nazo na namna gani unakabiliana nazo kwa namna ipi? 4. Kanuni na taratibu. Ili uweze kufanikiwa lazima uweze kufuata tarat...
BADILI CHANELI (CHANGE THE CHANNEL) Wote tunajua kutumia rimoti (remote controler) kubadili chaneli kwenye TV zetu. Kama ukiangalia kitu ambacho hukipendi hakuna shida unabadili chaneli na kuweka chaneli nyingine ambayo utapata kitu unachokipenda kukitazama kwa wakati huo. Tunatakiwa tujifunze namna ya kubadili chaneli za fikra zetu pale tunapokutana na mtazamo wa fikra hasi kwenye maisha yetu ya kila siku. Kwq hali ya kushangaza hii hali ikitokea kwa watu wengi hulizika nayo badala kubadilisha chaneli zao za mtazamo kutoka mtazamo hasi kwenda mtazamo chanya wao huvuta viti na kukaa na kuangiza vinywaji wanavyovipendelea na kuendelea kuburudika wakiendelea kutazama chaneli ileile ambayo huipendi. Unakumbuka maumivu na mateso uliyopitia zamani. Unapoteza furaha na amani moyoni mwako. Jifunze kubadili chaneli ya fikra ambayo huipendi, ambayo inakuletea mawazo hasi, mawazo yanayokubomoa na kukupotezea nguvu zako zote. #Tazama mambo mazuri ambayo umeshawahi fanya #Tambua wewe n...
Comments
Post a Comment