Posts

Showing posts from September, 2016
www.maere.com
UNINVENTED GUESTS Do you experience thoughts flashing through your mind that seem to come from nowhere ? They do come from somewhere and they are often designed to hinder you from reaching your goals . These thoughts are actually uninvited guests looking for home and it is our  job to tell them that  we have no room for them. Damian's inspiration
Habari rafiki yangu ,karibu tujifunze wote
NJIA ZA KUJIHAMASISHA MWENYEWE Utangulizi Kila mmoja wetu hukutana na magumu katika maisha yake ya kila siku. Kujihamasisha mwenyewe ni pale unapokutana na magumu ila bado anasimama na kuendelea mbele ya safari. Hakuna njia rahisi ya kupatia hamasa katika maisha. Hata baada ya kupata hamasa changamoto nyingine zinatokea hapo hapo. Ili uweze kujihamasisha lazima uwe na uwezo wa kudhibiti hisia zako. Hata kama ni mwanafunzi, mwaajiriwa, umejiajiri mwenyewe, mfanyabiashara,mkurugenzi, au mama wa nyumbani bado ni rahisi sana kufujika moyo katika maisha yetu ya kila siku. Haya mafunzo yatakusaidia kufikiri tofauti na kuwa na mtazamo chanya kwenye magumu unayokutana nayo. Leo nitajaribu kuzungumzia njia baadhi kati ya njia nyingi za kujihamasisha mwenyewe. KUWA NA MAWAZO CHANYA KUWA MZALISHAJI KUWA MKWELI KWAKO KUWA NA MAWASILIANO BINAFSI JISAMEHE MWENYEWE   Nitaelezea moja baada ya nyingine kwenye makala yangu yajayo yaitwayo AMKA TUONGEE   kuanzia mwez...